Watu 19 wakiwemo watalii 17 wa kigeni wameuawa baada ya wapiganaji kulenga jengo moja la kumbukumbu za kihistoria katika mji mkuu wa Tunisia Tunisi.
Shambulio hilo lilifanyika katika jengo la kumbukumbu la Bardo Museum ambalo liko jirani na bunge

No comments:
Post a Comment