UHUSIANO WA IRAN NA MAREKANI KUIMARIKA ZAIDI

Rais wa Marekani Barack Obama ametoa ujumbe katika kanda ya video kwa 
viongozi na raia wa Iran akisema kwamba hapakuwa na wakati muafaka zaidi katika miongo kadha iliyopita kwa Marekani na Iran kutafuta uhusiano mpya

.
Katika ujumbe wa kusherehekea mwaka mpya wa IranRais Obama  amesema mataifa hayo mawili yana fursa ya kihistoria ambayo haipaswi kupotea.





















 Pia amesema mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran yamepiga hatua lakini ameonya kuwa kuna watu wanaopinga mazungumzo juu ya mpango huo kwa nchi zote mbili yaani Marekani na Iran.





















No comments: