Mazishi ya aliekua kocha msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars marehemu Syllvester Marsh yamefanyika leo mkoani mwanza ambapo maelfu ya watu wa jiji hilo na watu wengine kutoka nje ya Mwanza wakijitokeza katika kumsindikiza kwenye makao yake ya milele.
Marehemu Marsh alifariki tarehe 14 March mwaka huu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelezwa akisumbuliwa na matatizo ya kansa ya koo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amin
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amin




No comments:
Post a Comment