MAMA MARIA NYERERE YUPO HAI

Kumekua na taarifa mbalimbali zinazosambazwa kwenye mitandao  mbalimbali ya kijamii kwamba mke wa baba wa Taifa hayati mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere mama Maria Nyerere  amefarika dunia .


Akizungumza moja kwa moja na kituo cha TBC1 mama Maria Nyerere aamekanusha taarifa hizo na kusema kua taarifa hizo sio za kweli kwani yeye bado yupo hai

Pia mama Maria Nyerere ameongeza na kusema kua kili ifikapo karibu na kipindi cha uchaguzi husambazwa taarifa za uongo juu ya yeye kufariki dunia



No comments: