Tukio la kwanza
Leo ni siku ya kupatwa kwa jua Duniani(solar eclipse ) ambapo imetangazwa maeneo mbalimbali yatashuhudia tukio hilo lisilozidi dakika 3.
Kuapatwa kwa jua kunatokea baada ya ya Mwezi kuwa katikakati ya Dunia na Jua
Tukio la pili
Leo Machi 20 ni siku ya afya ya kinywa Duniani ambapo watu wanshauriwa kutunza vinywa vyao kwani kinywa ndio sehemu ambayo inahitaji matunzo zaidi katika mwili wa binadamu
Tukio la tatu
Leo Machi 20 ni siku ya furaha Duniani yaani Intarnational Day of Happiness
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
No comments:
Post a Comment