LINEX NIKO TAYARI KULEA WATOTO WA SAILMA


























Msanii wa muziki wa bongo fleva Sunday Mjeda maarufu kama Linex ambaye anatamba kwa sasa na wimbo wake mpya wa Salima leo amefunguka kupitia kipindi cha Clouds360 na kusema idea ya wimbo huo imetokana na salma ambaye alikuwa rafiki yake wakati anasoma Shule ya msingi na alikuwa msaada wake katika baadhi ya vitu vya shule


Linex aliendelea kufunguka na kusema Anatamani siku moja aje kuwa Baba wa kambo wa watoto wa salima kwani anaona anampenda salima kiukweli japo Salima hataki ata kuongea naye alisema Linex kwenye mahojiano na Clouds360





























No comments: