RATIBA YA MECHI ZA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YATOKA

SHirikisho la soka barani ulaya UEFA mchana huu limetoa rasmi ratiba ya michezo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kukamilika kwa droo ya kupanga ratiba hiyo iliofanyika mapema leo.

















Ratiba hiyo inaonyesha kua wanafainali wa mwaka 2014 klabu za Real Madrid pamoja na Atletico Madrid zote za Hispania zikikutana katika hatua hiyo ambapo mechi ya kwanza itapigwa katika dimba la Vicente Calderon nyumbani kwa Atletico Madrid

Ratiba hiyo ipo ka ifuatavyo

Paris Saint-Germain vs Barcelona
Atletico Madrid vs Real Madrid
Porto vs Bayern Munich
Juventus vs Monaco 






No comments: