RAIS KIKWETE NDANI YA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI






Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.



Rais Jakaya Kikwete, akisimama wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kulihutubia Bunge la Afrika Mashariki.


Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.





No comments: