MFAHAMU MISAO OKAWA KIKONGWE WA DUNIA

MISAO OKAWA
Misao Okawa ni mwanamke wa kijapani ambae anashikiria rekodi ya kuwa binadamu mzee zaidi duniani kwa sasa 
Pia Misao Okawa anashikilia taji la kuwa mwanamke na binadamu mzee wa wakati wote alilolichukua mwaka 2013 baada ya kifo cha mjapani mwenzake aliekua akilishikilia taji hilo Jiroemon Kumara



Misa Okawa alizaliwa Machi 5 mwaka 1898 nchini Japani na juzi tarehe tano Machi mwaka huu 2015 alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ametimiza miaka 117
HONGERA SANA BIBI MISAO MUNGU AZIDI KUKUWEKA




No comments: