Chama cha wananchi CUF kimeitaka serekali kushuhurikia mifumo ya maji nchini hasa mito na kuhahakikisha kua inauwezo wa kutiririsha maji vizuri ili kuepusha maafa kama yaliyotokea wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Kaimu naibu katibu mkuu wa chama hicho, Shaweji Mkweto aliyasema hayo katika taarifa yake aliyoituma kwenye vyombo vya habari, alishauri kupitiwa upya kwa utaratibu wa kukabiliana na majanga kama yaliyotokea mkoani Shinyanga katika mvua kubwa ilionyesha inayojulikana kama Tonado
Shaweji Mkweto
Kaimu naibu katibu mkuu CUF
Alisema Chama cha wananchi CUF kinatoa pole kwa wananchi wote wa maeneo ya Kahama,Moshi, Rufiji, Morogoro na Katavi waliathirika na mafuriko hayo pamoja na salamu za rambi rambi kwa wafiwa wote ndugu jamaa na marafiki
Chanzo habari leo
No comments:
Post a Comment