OPERESHENI SAKA WAGANGA YAANZA MKOANI KAGERA

Serikali imeanzisha rasmi Operesheni ya kuwasaka waganga wa kienyeji na wapiga ramli  mkoani Kagera ikiwa ni harakati za kutokomeza vitendo vya mauji ya watu wenye ulemavu wa ngozi vinavyodaiwa kufanywa na waganga hao.

No comments: