Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Mizengo painda leo anatarajia kuzindua ripoti ya serilkali ya mpango wa matokeo makubwa sasa yaani Big Results Now {BRN} kwa mwaka 2013/2014
Je wewe kama mwananchi unafikiri ni yapi matokeo chanya ya mpango huu hasa kwa sekta ya Kilimo pamoja na Elimu nchini?
Toa maoni yako

No comments:
Post a Comment