MAAFA KAHAMA 38 WAFARIKI, 82 WAJERUHIWA

Maafa makubwa baada ya mvua kubwa ya mawe ilioambatana na upepo mkali ilionyesha katika kijiji cha Mwakata kata ya Isaka Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga kusababisha vifo vya watu 38 na kujeruhi 82.
Shuhuli za uokoaji bado zinaendelea chini ya kikosi cha zimamoto na uokoaji, ambapo mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya alisema idadi ya waliofarika na majeruhi inaweza ikaongezeka.



No comments: