Serekali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia ofisi ya waziri mkuu imetoa misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa mafuriko yaliyotokea usiku wa tarehe nne mwezi machi mwaka huu katika kijiji cha Mwakata, kata ya Isaka wiliaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 40 na wengine 82 kujeruhiwa.
Baadhi ya vitu vilivyotolewa na serikali nikama vile
Maharage tani 5
Mafuta ya kupikia ndoo 1,126
Sukari tani 1.3
Vitu vingine ni pamoja na Blanketi 650 na ndoo zakutumia .
Dkt Florence Turuka
Katibu mkuu Ofisi ya waziri mkuu

No comments:
Post a Comment