Mtandao wa Goal.com umetoa orodha ya wanasokama matajiri duniani ambapo orodha hiyo inaonyesha kua mshambuliaji wa Real Madrid pamoja na timu ya taifa ya Ureno Christian Ronaldo akiongoza katika orodha hiyo akiwa anautajiri unaofikia Dola za kimarekani Milioni 152 ambazo ni Dola za kimarekani Milioni 7 zaidi ya mpinzani wake mshambuliaji wa bBarcelona na timu ya taifa ya Argentina Leonel Mess ambae anashika nafasi ya pili kwenye orodha hiyo akiwa na utajiri wa Dola za kimarekani Milioni 145.
Orodha hiyo ipo ka ifuatavyo
1 Christian Ronaldo Dola Mil 152
2 Leonel Mess Cola Mil 145
3 Neymar Dola Mil 97.9
4 Zlatan Ibrahimovic Dola mil 76.1
5 Wayne Rooney Dola Mil 74.6
6 Kaka Dola mil 69.6
7 Samuel Eto'o Dola Mil 63.1
8 Raul Dola Mil 61.6
9 Ronaldinho Dola Mil 60.2
10 Frank Lampard Dola Mil 58
Wachezaji wengine kwenye orodha hiyo nipamoja na
Rio Ferdinand Dola Mil 52.2
Steven Gerrard Dola Mil 46.4 pamoja na nahodha wa chelsea John Terry Dola Mil 40.6


No comments:
Post a Comment