Tafadhali mpenzi msomaji wetu angalia kwa makini hio picha hapo chini halafu ilinganishe na ripoti ya serekali ya mpango wa matokeo makubwa sasa yaani Big Results Now (BRN) ya mwaka 2013/2014 ilotolewa jana na waziri mkuu Mh mizengo pinda.
Ripoti hiyo inaonyesha kua sekta ya elimu ndio sekta ambayo imeongoza kwa kufanya vizuri katika awamu hii ya kwanza ya mpango huo miongo mwa sekta zilizopewa kipaumbele ambazo ni elimu, kilimo,nishati, uchukuzi, utafiti rasilimali fedha na maji.
No comments:
Post a Comment