TANZANIA BILA MAUAJI YA ALBINO INAWEZEKZNA

Tushirikiane kwa pamoja kutokomeza vitendo hivi vya kinyama, Toa taarifa kwenye vyombo vya usalama pale unapoona kuna kiashiria chochote cha mauaji au kukatwa kiungo kwa mtu mwenye ulemavu wa ngozi (ALBINO).





























Kama tunaweza kushirikiana katika kutokomeza majangili wa wanyama pori katika nchi yetu, kwanini tushindwe kushirikiana kutokomeza ukatili huu kwa binadamu wenzentu 
Ambapo ukatili huu unawanyima haki yao ya msingi ya kuishi pamoja nakuwaongezea ulemavu katika maisha yao
Wewe na mm kwapamoja tunaweza kutokomenza ukatilii huu tushiorikiane kwani Tanzania bila mauaji ya albino inawezekana







No comments: