Watu wanne (pichani chini) wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya mauaji ya Zawadi Magimba(32) ambae ni mlemavu wa ngozi (ALBINO), mkazi wa Nyamara wilayani geita
Watuhumiwa hao ambao ni Nasoro Charles, Singu Siantumi, Masaru Kahindi na Ndahaya lumola wamesomewa hukumu hiyo katika mahakama ya wila ya geita na jaji wa mahakama kuu Joacquine De-Millo siku ya tarehe 5 machi mwaka huu
Hatua hiyo imekuja baada ya kukithiri kwa vitendo vya mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi kwa hivi karibuni hapa nchini.
picha na Mwananchi Newspaper
No comments:
Post a Comment