Ripoti kutoka katika mtandao wa Intanational Busness Time zinsema kua Mwanamichezi maarufu wa mieleka duniani John Cena hajafa kama ilivyoripotiwa awali
Awali zilitoka taarifa kua mwanamichezo huyo amefariki duniania kutokana na ajali gari alioipata usiku wa kuamkia jumatata
Mtandao wa Global Association ndio uliochapisha taarifa hizo, hii sio mara ya kwanza kwa Cena kuzushiwa kifo kwa mujibu wa mtandao wa IBT kwni mwezi agosti mwaka uliopita zilitoka taarifa kua Jonh Cena amefariki dunia kutokana na majeraha ya kichwa alioyapata wakati akiwa mazoezini
Hii ni baadhi ya picha za ajali aliopipata John Cena
John Cena mara baada ya kufikishwa Hospitalini.
No comments:
Post a Comment