Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya msako na kuwakamata waganga hao, Kamanda wa polisi mkoani Geita Sacp Joseph Konyo (pichani juu) alisema wakati sasa umefika wakuhakikisha vitendo vya mauaji vinavyotokanan na imani za kishirikina vinatokomezwa kabisa

Wananchi wa mkoa wa Geita wamepongeza hatua ya serekali kuwachukulia hatua watuhumiwa wote wanaopatikana na tuhuma za mauaji yanayotokana na imani za kishirikina
No comments:
Post a Comment