Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania Ali kiba jana alifanya shoo ya hatari katika ukumbi wa Club La liga katika wilaya ya moshi mkoani kilimanjaro
Katika shoo hiyo iliofanyika jana usiku ilishuhudia Ali kiba akipaform wimbo wake mpya unaoitwa Cheketua
Hii ni mara ya kwanza kwa Ali Kiba kupaform wimbo wake mpya ambao ameuachia wiki iliopita
Shoo hiyo pia ilisindikizwa na Recho kutoka THT pamoja na Abdul Kiba ambae ni mdogo wake Ali Kiba, Na miongoni mwa watu waliohudhuria shoo hiyo alikua ni baba mzazi wa msani Hamisi Mwinjuma( Mwana FA.)
Source Milardayo.com
No comments:
Post a Comment