Leo ni usiku wa kilimanjaro Tanzania music award KTMA ambapo wasanii mbali mbali ambao wamefanikiwa kushinda katika vipengele walivyokuwepo kupokea tuzo zao.
Hivi ni vipengele vyote ambavyo vinawaniwa na wasanii mbalimbali wakiwemo WA bongo fleva , hip hop, taarab, bend, pamoja na muziki wa regge na ragga.
MTUMBUIZAJI BORA WA MWAKA- WANAUME
Mzee Yusuph
Christian Bella
Diamond Platinum
Ali Kiba
Nyoshi El Saadat
MTUMBUIZAJI BORA WA MWAKA-WANAWAKE
Vanessa Mdee
Khadija Kopa
Isha Mashauzi
Shaa
Dyna Nyange
MWIMBAJI BORA WA KIUME-TAARABU
Mzee Yusufu
Prince Amigo
Hassani Vocha
Hassani Ally
Mussa Kijoti
MWIMBAJI BORA WA KIKE- TAARABU
Khadija Kopa
Isha Mashauzi
Hadija Yusuph
Leyla Rashid
Fatma Nyoro
MWIMBAJI BORA WA KIUME -BONGO FLEVA
Ali Kiba
Ben Pol
Jux
Diamond
Belle 9
MWIMBAJI BORA WA KIKE - BONGO FLEVA
Lady Jay Dee
Vanessa Mdee
Linah
Grace Matata
Malaika
MWIMBAJI BORA WA KIUME - BENDI
Jose Mara
Kalala Jonior
Khalidi Chokoraa
Chaz Baba
Nyoshi El Sadat
WIMBO BORA WA MWAKA - TAARAB
Hasidi hana sababu - Mzee Yusufu
Lady with a confidence - Khadija Kopa
Chozi la mama - Mzee Yusufu
Fanya yako - Leyla Rashid
Mapenzi hayana dhamana - Isha Mashauzi
WIMBO BORA WA MWAKA - BONGO FLEVA
Mwana - Ali Kiba
Nani kama mama - Christian Bella ft Ommy Dimpozi
Gere - Weusi
Bongo Hip Hop - Fid Q
WIMBO BORA WA KISWAHILI - BENDI
Otilia - Fm Academia
Kiu ya haki - Mashujaa Band
Sauti ya marehemu - Mapcha 3
Ganda la mua - The African Stars (Twanga pepeta)
Wale wale - Vijana Ngwasuma
WIMBO BORA WA R&B
Nitasubiri - Jux
Unanichora - Ben Pol ft Joh Makini
Vitamini Music - Belle 9 ft Joh Makini
Sisikii - Jux
Ni penzi - Damian Soul
WIMBO BORA WA HIP HOP
Bongo hip hop - Fid q
Mfalme - Mwana FA ft G nako
Kipi sijasikia - Prof J ft Diamond
I see me - Joh Makini
XO - Joh Makini ft G nako
WIMBO BORA WA REGGA/ DANCE HALL
Let them know - Maua
Mama Africa - Warriors from the East
Maisha magumu - warriors from the East
Greetings for you - Ras Six
Tujimwage - Deddy
MTUNZI BORA WA MWAKA - BENDI
Jose Mara
Nyoshi El Sadat
Rogat Hegga Katapila
Hussein Jumbe
Richard Mangustino
MTUNZI BORA WA MWAKA - HIP HOP
Fid Q
Mwana FA
Joh Makini
Niki wa Pili
Kala Jeremiah
MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA (PRODUCER) - BONGO FLEVA
Nahreel
Man Water
Mesen Selekta
Tudd Thomas
Marco Chali
MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA (PRODUCER) - TAARAB
Enrico
Marlion Linje
MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA (PRODUCER) -BENDI
Allani Mapigo
Enrico
Said Comorien
Ababuu Mwana Zanzibar
VIDEO BORA YA MWAKA
Mdogo mdogo - Diamond
Nitampata wapi - Diamond
Mwana - Ali Kiba
Olethemba - Linah
Asante - AY
WIMBO BORA WA AFRO POP
Mwana - Ali Kiba
Mdogo mdogo - Diamond
Nisema - Yamoto Band
Ntakupwelepweta - Yamoto Band
Kanya boya - Mesen Selekta
Hawajui - Vanessa Mdee
WIMBO BORA WA ZOUK/RHOUMBA
Nani kama mama - Christian Bella ft Omy Dimpoz
Basi nenda - Mo Music
Nitampata wapi - Diamond
Nasema - Lady Jay Dee
Historia - Lady Jay Dee
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI VYA KITANZANIA
Waite - Mrisho Mpoto ft Felly Kano
Vuma - Vitalis Maembe
Tumetoka mbali - Jaguar Music
Mama Shabani - IFA Band
Omwana - B.K Sound
MSANII BORA ANAYECHIPUKIA
Barack Da Prince
Beka Tittle
Afromaniac
Allice
Billnas
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
Forever - Lady Jay Dee ft Dabo
Mfalme - Mwana FA ft G nako
Kipi sijasikia - Prof J ft Diamond
Kiboko yangu - Mwana FA ft Ali Kiba
Kerewa - Shetta ft Diamond
BENDI BORA YA MWAKA
Fm Academia
The African stars ( Twanga pepeta)
Mapacha 3
Mashujaa Band
Msondo ngoma music band
KIKUNDI BORA CHA MWAKA - TAARAB
Jahazi modern taarab
Mashauzi classic
Dar modern taarab
Five stars
Wakali wao modern Taradance
KIKUNDI BORA CHA MWAKA - BONGO FLEVA
Yamoto
Navikenzo
Weusi
Makomando
B.O.B
No comments:
Post a Comment