Algeria imesalia timu bora barani Afrika katika orodha ya FIFA ya mwezi
March licha ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha kombe la mataifa
bingwa ya Afrika na Ivory Coast.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Algeria
Timu ya taifa ya Algeria maarufu kama"Mbweha wa jangwani'' walitupwa nje ya mashindano hayo na The Elephants ya Ivory Coast katika hatua ya robo fainali.
Wachezaji wa I Vory Coast wakishangilia kombe la ubingwa wa Afrika walilolitwaa hivi karibuni
Algeria wameorodheshwa katika nafasi ya 18 duniani huku Ivory Coast ikiorodheshwaya 20 duniaiani
Black stars ya Ghana ni timu ya tatu kwa ubora barani Afrika lakini imeorodheshwa katika nafasi ya 24 duniani.Tunisia ni ya nne barani Afrika lakini ya 25 duniani.
Senegal inafunga orodha ya tano bora barani Afrika.
Orodha ya nafasi kumi bora barani Afrika.(kwenye mabano nafasi kidunia)
1 (18). Algeria
2 (20). Ivory Coast
3 (24). Ghana
4 (25). Tunisia
5 (36). Senegal
6 (38). Cape Verde
7 (41). Nigeria
8 (44). Guinea
9 (47). DR Congo
10 (49). Cameroon
1 (18). Algeria
2 (20). Ivory Coast
3 (24). Ghana
4 (25). Tunisia
5 (36). Senegal
6 (38). Cape Verde
7 (41). Nigeria
8 (44). Guinea
9 (47). DR Congo
10 (49). Cameroon


No comments:
Post a Comment