Mcheza tenis mwanadada namba moja kwa ubora duniani Serena Williams
amesema haamini kama anaweza kurejea mji Indian Wells huko Calfonia
nchini Marekani kushiriki mashindano ya tenis baada ya kudhalilishwa na
watazamaji wakati alipokuwa msichana wa miaka 19.
Serena ambaye kwa sasa ana miaka 33 huenda akashiriki tena mashindano ya
BNP Paribas Open yatakayofanyika katika mji wa Califonia baada ya
kuyasusia kwa miaka 14
Serena Williams akiwajibika kwenye moja ya mechi zake




No comments:
Post a Comment