Kampuni ya Murhandiziwa kutoka Afrika ya Kusini ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha leo imesaini mkataba na bodi ya michezo ya kubahatisha nchini kwa lengo la kushirikiana kuendesha michezo hiyo hapa nchini
Mwenyekiti
wa kampuni ya Ginadi International na Murhandiziwa ya
Afrika ya Kusini,Profesa Bongani Aug Khumalo (kulia) na Mkurugenzi
wa Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimba(kushoto)
wakisaini mkataba ambapo kampuni ya Murhandiziwa imepewa leseni ya
kuendesha michezo ya bahati nasibu nchini.Hafla ya kusaini makubaliano
imefanyika jjijini Dar es Salaam leo.
Maofisa
kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha na waandishi wa habari (pichani)
walihudhuria hafla ya kusaini mkataba baina ya kampuni ya Murhandiziwa
na Bodi ya Michezo ya kubahatisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam
leo.
Mwenyekiti
wa kampuni ya Ginadi International na Murhandiziwa ya
Afrika ya Kusini,Profesa Bongani Aug Khumalo (kulia) na Mkurugenzi
wa Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania, Abbas Tarimba(kushoto)
wakibadilishana nyaraka za mkataba muda mfupi baada ya kusaini
makubaliano ambapo kampuni ya Murhandiziwa imepewa leseni ya kuendesha
michezo ya bahati nasibu nchiniHafla ya kusaini makubaliano imefanyika
jjijini Dar es Salaam leo
No comments:
Post a Comment