Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete jana usiku aliwangoza mamia ya watu waliohudhuria katika harambee ya ujenzi wa chuo kikuu cha tumaini kwenye ukumbi wa Diamond jubilee jijini Dar es salaam na kufanikisha kupatikana kwa Sh bilioni 1.6
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wakuu wa majimbo ya KKKT wakiwemo wachungaji, wainjilisti na wafanyakazi wa parish pamoja na viongozi wengine
Rais Kiikwete akipongezwa kwa kufanikisha harambee hiyo
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya harambee hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa wake Mzee Arnold Kilewo (wa kwanza kulia walioketi) mara baada ya harambee hiyo




No comments:
Post a Comment