LOWASSA AWAPONGEA KINANA NA NAPE

Waziri mkuu wa zamani ambae pia ni mbunge wa jimbo la  Mondoli Mh Edard Lowassa amepongeza kazi kubwa inayofanywa na katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Nd Abulrahmani Kinana pamoja na Katibu wa Halamashauri kuu ya chama hicho (NEC) Nape Nnauye katika kufanya ziara ambazo amedai zinaimarisha chama hicho






































































Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa viti maalum kupitia CCM Ndugu Namelok Sokoine wakati alipowasili katika mji wa Makuyuni wilayani Monduli.  
















































































Mh. Edward Lowassa amewashukuru na kuwapongeza Ndugu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye kwa kazi ambayo wanakifanyia chama cha Mapinduzi  CCM “Hongereni Sana Hata hivyo jimbo la Monduli liko salama mikononi mwa CCM”. Amesema Lowassa.




No comments: