Kiungo wa Manchester United muagentina Angel Di Maria ametangaza kulipiga bei jumba lake la kifahari alilolinunua wakati anajiunga na klabu hiyi akitokea Real Madrid mwaka 2014
Jumba hilo lililopo katika jiji la Manchenster linauzwa kwa kititita cha Euro Milioni 4.15
Hapa ni eneo la nje la jumba hilo
Hili ni bwawa la kuogelea lililopo ndani ya jumba hilo
Hii ni sehemu ya mazoezi
Hiki ni moja kati ya vyumba vya kulala
Hii ni sehemu ya kuogea






No comments:
Post a Comment