Kampuni ya kimataifa ya vifaa vya kielektroniki ya APPLE kesho inatarajia kutangaza bei rasmi ya saa zao mpya walizozizindua hivi karibuni
saa hizo ambazo zina uwezo wa kufanya kazi kupitia Retina ya jicho zinatarajiwa kuuzwa kwa Dolla 349 ambazo ni zaidi ya laki sita na elfu arobaini kwa pesa za kitanzania
Hizi ndio saa mpya za APPLE


No comments:
Post a Comment