Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Abdalla Kihato amesema ni vyema mashirika mbalimbali yanayotetea haki za wanawake yaongozwe na wanawake wenyewe
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Abdalla Kihato
Kihato aliyasema hayo Wilayani Mkuranga kwenye kongamano la Wanawake linalohusu Wanawake na Uchumi liloandaliwa na kikundi cha ANGLES MOMENT
Mkuu huyo wa wilaya amesema kua matatizo ya wanawake wanayajua wanawake wenyewe hivyo wapewe fursa katika mambo yanayowakabili.
No comments:
Post a Comment