MNYAMA AUNGURUMA UWANJA WA TAIFA

Mechi imekwisha simba imeibuka na ushindi wa bao moja kwa sifuri huku timu ya Yanga wakimaliza mchezo wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao Haruna Niyonzima kuonyeshwa kadi nyekundu


No comments: