Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imetoa ratiba ya uandikishaji wa daftari
la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR katika mkoa wa NJOMBE. Wilaya zitakazohusika ni NJOMBE,WANGING’OMBE,LUDEWA, MAKETE na makambako ni kata ya utengule pekee.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi
Jaji mstaafu Damiani Lubuva
Aidha kwa mujibu wa tangazo hilo watakaohusika ni Waliotimiza umri wa
Miaka 18 na kuendelea na wale wote watakaotimiza miaka 18 ifikapo
mwezi Oktoba, 2015, Waliojiandikisha awali kwenye Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura la zamani ili kuhuisha taarifa zao na kupata kadi mpya za
kupigia kura na Wale wote wenye sifa za kujiandikisha lakini hawajawahi
kujiandikisha kwenye Daftari.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inasisitiza wananchi wote wa Mkoa wa Njombe kujitokeza kwa wing
No comments:
Post a Comment