Matukio ya ajali yameendelea kuuandama mkoa wa morogoro ambapo watu 22 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ALSAED lililokuwa likitokea ifakara kuelekea jijini Dar es salaam kugonga basi la MADENGE TRANS na kisha kuanguka katikati ya hifadhi ya mikumi barabara ya morogoro iringa.
Hili ni tukio la tatu mfululizo kwa ajali tatu mfululizo kutokea katika hifadhi ya mikumia ambapo kamanda polisi mkoa wa morogoro Lenard akizungumza katika eneo la tukio amesema chanazo cha ajali ni dereva wa lori la Tenki ya mafuta ambaye kutaka kulipita lori jingine na kusababisha mabasi kugongana na kisha kukimbia ambapo majeruhi mmoja amekimbikizwa hospitali ya St.Kizito na majenruhi wengine wamepele kwa katika hospitali ya mkoa wa morogoro.



No comments:
Post a Comment