Zaidi ya vyuo 40 vya binafsi na vile vya serikali vimefungiwa na baraza
la taifa la elimu ya juu NACTE kutokuendelea kutoa elimu ya juu kutokana
na kushindwa kutimiza masharti na vigezo walivyopangiwa na baraza hilo
katika mchakato mzima wa kutoa elumu ya juu.
Uamuzi wa kufungiwa vyuo hivyo visiendelee kutoa elimu ya juu vikiwemo
vyuo vinavyotoa taaluma ya ualimu hatua ya kuvifungia moja na
wateandelea kuvifuatilia vyuo vyote batili ambavyo vinaendelea kutoa
elimu ya juu bila kufuata taratibu zote za nacte.
No comments:
Post a Comment