Mwanariadha mlemavu wa South Afrika Osca Pistorius amegoma kula chakula cha gerezani kwa kuhofia kuwekewa sumu na wafungwa wenzie ndani ya gereza hilo.
Pistorius
Gereza la Death Island, South Africa alikofungwa mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius
lilimpa uhuru kwenye baadhi ya vitu mwanariadha huyo, ikiwemo
kuwasiliana kwa simu, kutembelewa na wageni na hata kusikiliza redio,
baadhi ya wafungwa waliona kama anapendelewa.
Pistorius na aliekua mpenzi wakeReeva Steenkamp
Oscar
ambaye anatumikia kifungo cha miaka mitano kwa kosa na kumuua bila
kukusudia mpenzi wake Reeva Steenkamp amegoma kuendelea kula chakula cha
gerezani ambapo mgomo huo alioufanya umemfanya mwili
wake kudhoofika.
Pistorius akiwa kwenye majukumu yakle



No comments:
Post a Comment