Wasanii wawili walio kuwa kwenye head line kwa kipindi cha muda mrefu
hapa namzungumzia staa wa muziki wa Bongo fleva Ommy Dimpoz pamoja na
Staa wa movie za kibongo Wema Sepetu hatimaye ukweli wa picha zao umejulikana
Ommy dimpoz amesema picha hizo ambazo watu walikuwa wanaziona, ni baadhi
ya vipande vya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuutoa leo na ameomba
mashabiki wajiandae kwa wimbo huo kwani maswali walio kuwa wanajiuliza
watajipatia majibu kupitia wimbo huo wa WANJERA




No comments:
Post a Comment