DJOKOVIC BINGWA MIAMI OPEN

Mcheza tenesi namabari moja Duniani kwa upande wa wanaume mserbia Novak Djokovic ametwaa ubingwa wa mashindano ya wazi ya Miami maarufu kama Miami Open baada ya kumshinda Andy Murray wa Uingereza kwa seti  7-6, 7-3, 4-6, na 6-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa jana kwenye uwanja wa Crandon Park jijini Miami.




















































Hilo ni taji la tano la michuano ya wazi ya Miami kwa mserbia 
huyo napia ameendeleza rekodi yake nzuri dhini ya mwingerezaAndy Murray kwani wiki mbili zilizopita Djokovic alimfunga Murray katika michuano ya Tenesi ya India maarufu kama Indian Wells.





















Katika mwaka 2015 Djokovic amecheza mapambano 27 huku akishinda mapambano 25 na kupoteza mapambano mawili na amefikia rekodi ya Msweden Rafael Nadal yakukaa kileleni kwenye viwango vya wacheza tenesi Dunia kwa upande wa wanaume muda mrefu zaidi wiki 141.








No comments: