"KAZI NA DAWA" MASTAA WA MAN UTD NA MAN CITY WAUNGANA KULA BATA BAADA YA KUZITUMIKIA TIMU ZAO

Baadh ya wachezaji wa klabu kubwa za jiji la Manchester yaani Man utd pamoja na Man city jana Jumapili walikutana kwenye mgahawa mmoja uliopo kwenye jiji la Manchestes kwaajili ya kufurahi mara baada ya kuzitumikia timu zao kwenye mechi za ligi kuu ya England mwishoni mwa wiki.

Manchester Utd waliimaliza weekend yao vibaya baada ya kupokea kichapo cha bao moja kwa sifuri kutoka kwa Chelsea wakati ndugu zao Man city waliimaliza weekend yao vyema baada ya kupata ushindi wa mabao mawili kwa sifuri dhidi ya West Ham Utd























































































































No comments: